Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makalla wakisalimiana na Nsollo Nkalla ambaye ni mwenyekiti wa Steering Committee ya mradi wa ujenzi wa Tanzanite City-Chunya, nje ya ukumbi baada ya kongamano liliandaliwa na mkuu wa mkoa kwa ajiri ya kutangaza fursa za kiuchumi na kuvutia watu kuwekeza mkoani Mbeya. |